Mdau Loan

Mkopo huu unatolewa kwa kujisajili kupitia matawi yetu yaliyopo sehemu mbalimbali hapa nchini. Ni mkopo wa haraka Zaidi gharama nafuu

Walengwa

Huu ni mkopo unaowalenga wadau mbalimbali. Wadau ni watu ambao atakayeweza kupitia taratibu zote na kupata usajili kupitia mawakala wetu.

Kiasi cha Mkopo Kiwango cha mkopo ni kati ya Tsh.30, 000 – 200,000 kitalipwa ndani ya muda wa miezi 6 Kiwango cha mkopo ni kati ya Tsh.200,000 -5,000,000 kitalipwa ndani ya muda wa miezi 3 mpaka miezi 12



Leave a Reply