Mkulima loan

Huu ni mkopo cha mikopo yenye la kuwazesha kifedha wakulima wakati wanasubiri kuvuna. Mikopo hii imekusudiwa kusaidia kuwazesha kupata ,mahitaji ya kila siku na hutumika kama fedha ya kuwainua

Lengo

Huu ni mkopo kibinafsi wa kifedha ili kusaidia mahitaji ya muda mfupi na mrefu kama vile huduma za malipo ya umeme, bili za maji, nauli ya usafirishaji na kuongeza mitaji kukuza biashara yao kama nyongeza ya shughuli za kilimo.

Walengwa

Wakulima wote kutoka viwango vya chini hadi vya juu Walioko kote nchini. Kiasi cha Mkopo Kiwango cha mkopo ni kati ya Tsh 100,000 – 200,000 kitalipwa ndani ya muda wa miezi 6 Kiwango cha mkopo ni kati ya Tsh.200,000 -5,000,000 w ndani ya muda wa miezi 3 mpaka miezi 12Leave a Reply