- June 30, 2021
- Posted by: Maziku Kuwandu
- Category: loan updates
Mkopo huu unatolewa kwa kujisajili kupitia matawi yetu yaliyopo sehemu mbalimbali hapa nchini.
Walengwa
mkopo unalenga kuwawezesha wajasiriamali aweze kuendeleza biashara yake ili kujijengea soko zuri wakati wote
Kiasi cha Mkopo
Kiwango cha mkopo ni kati ya Tsh 100,000 – 200,000 kitalipwa ndani ya muda wa miezi 6 Kiwango cha mkopo ni kati ya Tsh.200,000 -5,000,000 w ndani ya muda wa miezi 3 mpaka miezi 12
.
Nahitaji mkopo
Karibu sana kopafasta tafadhali unaweza kuwasilina na sisi kupita namba zetu za huduma kwa wateja pia unaweza kufika matawi yetu jirani kwa taarifa zaidi
namba zetu za huduma za kwa wateja 0679 09 47 47 na 07424 02 47 47 ,
Naomba mkopo wa Tshs 1,000,000/-nina uwezo wa kurudisha laki moja kila mwezi kwa miezi kumi na mbili!