Mkulima loan

Huu ni mkopo wa kuwazesha kifedha wakulima wakati wanasubiri kuvuna. Mkopo huu umekusudiwa kuwasaidia kuwazesha wakulima kupata mahitaji ya kila siku na hutumika kama fedha ya kuwainua kiuchumi.
Lengo
Huu ni mkopo kibinafsi wa kifedha ili kusaidia mahitaji ya muda mfupi na mrefu kama vile huduma za malipo ya umeme, bili za maji, nauli ya usafirishaji na kuongeza mitaji kukuza biashara yao kama nyongeza ya shughuli za kilimo.
Walengwa
Wakulima wote kutoka viwango vya chini hadi vya juu Walioko kote nchini.
Kiasi cha Mkopo
Kiwango cha mkopo ni kati ya Tsh 100,000 – 200,000 kitalipwa ndani ya muda wa miezi 6

 Leave a Reply