Nivushe loan

Mkopo huu unatolewa kama mshahara wa awali (advance) kabla ya kupokea mshahara wako wa mwisho wa mwezi. Mkopo unawawezesha wafanyakazi waweze kujikimu wakati anasubiri mshahara wake. Mkopo huu unatolewa kwa wafayakazi wenye kadi za kopafasta
Malengo
kuwasaidia mfanyakazi aweze kukidhi yao mahitaji ya msingi kabla ya kupokea mshahara wao
Walengwa
Wafanyakazi wote wa makampuni binafsi ambayo tutaingia nayo mkataba
Kiasi cha Mkopo
Kiwango cha mkopo ni kati ya shilingi 200,000 – 500,000 kitalipwa ndani ya muda wa miezi 6 au miezi 3 mpaka 122 Comments

  • Sharifu Lihanje

    Mimi ni mfanya kazi wa kampuni binafsi kutoka GARDA WORLD nataka kuchukua mkopo zaidi ya kiwango ambacho mmetuwekea katika kadi zetu za ulinzi card je nifuate taratibu zipi kuweza kupata mkopo mkubwa

Leave a Reply