Car Loan ( Mkopo wa gari)

Ni mkopo unaotelewa kwa mtu yeyote ,ambaye anamiliki gari ili upate mkopo huu lazima uweke gari lako kama dhamana.
Tunazingatia vigezo vifuatavyo kwa ajili ya kupata mkopo huu
Kadi ya usajili wa gari
Kopi ya cheti cha bima ya gari (comprehensive) na risiti ya malipo
Fomu ya maombi yaliyo jazwa
Kitambulisho cha taifa
Barua ya serikali ya mtaa
Picha mbili za passport za hivi karibuni
Kopi ya namba ya biashara (TIN)
Kitambulisho cha taifa cha mdham

Walengwa
Ni mtu yeyote mwenye gari , atakaye kuwa na vigezo tajwa hapo.


Kiasi cha Mkopo
Mkopo wetu mpaka Tshs 10,000,000, Mkopo utalipwa ndani ya
miezi 3 mpaka miezi 12