Car Loan ( Mkopo wa gari)

Ni mkopo unaotelewa kwa mtu yeyote ,ambaye anamiliki gari ili upate mkopo huu lazima uweke gari lako kama dhamana.

Tunazingatia vigezo vifuatavyo kwa ajili ya kupata mkopo huu: Kadi ya usajili wa gari, Kopi ya cheti cha bima ya gari (comprehensive) na risiti ya malipo Fomu ya maombi yaliyo jazwa Kitambulisho cha taifa Barua ya serikali ya mtaa Picha mbili za passport za hivi karibuni Kopi ya namba ya biashara (TIN) Kitambulisho cha taifa cha mdhamini

Walengwa Ni mtu yeyote mwenye gari , atakaye kuwa na vigezo tajwa hapo.

Kiasi cha Mkopo

Mkopo wetu mpaka Tshs 10,000,000, Mkopo utalipwa mwezi 3 mpaka miezi 12