Nivushe loan

Mkopo wa nivushe ni mkopo unao walenga wafanyakazi wa makapuni binafsi na umma. Mkopo huu unatolewa kama mshahara wa awali (advance salary) kabla ya kupokea mshahara wa mwisho wa mwezi. Mkopo una wawezesha wafanyakazi waweze kujikimu wakati wanasubiri mishahara yao. Mkopo wa nivushe unatolewa kwa wafanyakazi wenye kadi za kopafasta

Malengo ya mkopo wa nivshe ni kuwasaidia wafanyakazi waweze kukidhi mahitaji yao ya msingi kabla ya kupokea mishahara yao

Walengwa

Wafanyakazi wote wa makampuni binafsi na umma ambayo tutaingia nayo mkataba

Kiasi cha Mkopo

kiwango cha mkopo wa nivushe ni kati ya shilingi 200,000 mpaka 500,000 kitalipwa ndani ya muda wa miezi 6 au miezi 3 mpaka 12