Mtaji Pap!

Mkopo huu unatolewa kwa kujisajili kupitia matawi yetu yaliyopo sehemu mbalimbali hapa nchini.
Malengo
Kuwawezesha wajasiriamali waweze kuendeleza biashara zao ili kujijengea soko zuri wakati wote.
Walengwa
Ni mkopo unalenga kuwawezesha wajasiriamali aweze kuendeleza biashara yake ili kujijengea soko zuri wakati wote.
Kiasi cha Mkopo
Kiwango cha mkopo ni kati ya Tsh 100,000 mpaka 200,000 kitalipwa ndani ya muda wa miezi 6.Kiwango cha mkopo ni kati ya Tsh.200,000 mpaka 5,000,000 ndani ya muda wa miezi 3 mpaka miezi 12.