Walinzi Loan

Mkopo huu unatolewa kama mshahara wa awali (advance) kabla ya kupokea mshahara wako wa mwisho wa mwezi. Mkopo unawawezesha wafanyakazi waweze kujikimu wakati anasubiri mshahara wake. Mkopo huu unatolewa kwa wafayakazi wenye kadi za kopafasta

Malengo kuwasaidia mfanyakazi aweze kukidhi yao mahitaji ya msingi kabla ya kupokea mshahara wao

Walengwa Wafanyakazi wote wa makampuni binafsi ambayo tutaingia nayo mkataba

Kiasi cha Mkopo Kiwango cha mkopo ni kati ya shilingi 200,000 – 500,000 kitalipwa ndani ya muda wa miezi 6 au miezi 3 mpaka 12